Follow by Email

Monday, July 19, 2021

BALOZI MULAMULA ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO UBALOZI WA PAKISTAN

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (Mb) amesaini kitabu cha maombolezo Ubalozi wa Pakistan hapa nchini kufuatia kifo cha Rais mstaafu wa Pakistan Hayati Mamnoon Hussain aliyefariki Julai 14, 2021.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (Mb) akisaini kitabu cha maombolezo Ubalozi wa Pakistan hapa nchini kufuatia kifo cha Rais mstaafu wa Pakistan Hayati Mamnoon Hussain aliyefariki Julai 14, 2021

Picha ya Rais mstaafu wa Pakistan Hayati Mamnoon Hussain

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (Mb) akiongea na Balozi wa Pakistan nchini, Mhe. Mohammad Saleem mara baada ya kusaini kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo cha Rais mstaafu wa Pakistan Hayati Mamnoon Hussain aliyefariki Julai 14, 2021


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula (Mb) akiagana na Balozi wa Pakistan nchini, Mhe. Mohammad Saleem mara baada ya kusaini kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo cha Rais mstaafu wa Pakistan Hayati Mamnoon Hussain aliyefariki Julai 14, 2021No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.