Follow by Email

Thursday, June 11, 2020

MKURUGENZI MKAZI WA WFP APONGEZA UAMUZI WA RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI WA KUTOWEKA ZUIO LA KUTOKA NJE (LOCKDOWN) KATIKA KIPINDI CHA MAPAMBANO YA UGONJWA WA COVID 19.
 
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Brig. Jen. Wilbert A. Ibuge na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) Bw. Michael Dunford wakisalimia walipokuna kwa mazungumzo jijini Dodoma
  Katika hatua nyingine Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) Bw. Michael Dunford  ametembelea vikundi vya wakulima vinavyofadhiliwa na miradi ya Shirika hilo Kibaigwa mkoani Dodoma. Lengo la ziara hiyo ilikuwa ni kupata mrejesho wa maendeleo ya mradi kutoka kwa wanakikundi, na kupokea mapendekezo ya kuboresha maradi huo. 
Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) Bw. Michael Dunford, akimsikiliza mmoja wa  wanufaika wa ufadhili wa WFP alipowatembelea wanufaika hao Kibaigwa, Dodoma.

Wanakikundi wakiwa katika majadala na Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP) Bw. Michael Dunford .No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.