Follow by Email

Tuesday, July 10, 2018

Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki yaendelea kutoa huduma kwenye maonesho ya sabasaba

Balozi Ramadhani Mwinyi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki (wa pili kushoto) akifafanua jambo kwa mteja aliyetembelea banda la Wizara kwenye maonesho ya sabasaba

Balozi Ramadhani Mwinyi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la Wizara hiyo kwenye maonesho ya 42 ya biashara ya kimataifa yanayoenedelea jijini Dar es Salaam.
Mhe. Balozi Rajab Luhwavi Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Msumbiji (wa kwanza kulia) akizungumza na baadhi ya watumishi wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki alipotembelea banda la Wizara hiyo kwenye maonesho ya sabasaba.Balozi Mohamed Haji Hamza Mkurugenzi wa ofisi ya Wizara ya Mambo ya Nje Zanzibar (kushoto) akisikiliza maelezo kutoka kwa mhadhiri wa Chuo cha Diplomasia Bw. Shoo Innocent alipotembelea banda la Wizara kwenye maonesho ya sabasaba 

Bw. Zakariyya Kera Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akisaini kitabu cha wageni alipotembelea banda la Wizara hiyo kwenye maonesho ya sabasaba

Bw. Teodos Komba akifanunua jambo kwa mteja aliyembelea banda la Wizara kwenye maonesho ya sabasaba

Wanafunzi kutoka Dar es Salaam Islamic Secondary School wakipewa maelezo walipotembelea banda la Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwenye maonesho ya sabasaba


Balozi Ramadhani Mwinyi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akiangalia bidhaa kwenye maonesho ya sabasaba

Balozi Ramadhani Mwinyi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akiangalia bidhaa kwenye maonesho ya sabasaba

Balozi Ramadhani Mwinyi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akiangalia maonesho ya kazi ya ubunifu wa teknolojia kutoka kwa Wataalam wa Taasisi ya Mafunzo ya Ufundi Zanzibar

Balozi Ramadhani Mwinyi Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akitoka kuangalia bidhaa kwenye jengo la Zanzibar katika maonesho ya sabasaba 

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.