Follow by Email

Monday, May 14, 2018

Waziri Mahiga akutana na Kaimu Balozi wa Marekani nchiniWaziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Augustine Mahiga akizungumza na Kaimu Balozi wa Marekani nchini, Bi. Inmi Patterson alipotembelea katika ofisi za Wizara Jijini Dar es Salaam tarehe 14 Mei 2018.
    Mazungumzo yao yalijikita katika kuimarisha ushirikiano wa kidiplomasia na uchumi hususan katika sekta ya elimu, afya na ujenzi wa miundombinu.
 
Kutoka kushoto ni Kaimu Mkurugenzi Idara ya Ulaya na Amerika wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bw. Jestus Nyamanga, Msaidizi wa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bw. Gerald Mbwafu na Afisa Mambo ya Nje, Bi. Redemptor Tibaigana wakifuatilia mazungumzo.

Mazungumzo yakiendelea.

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.