Follow by Email

Sunday, May 27, 2018

Naibu Katibu Mkuu Mambo ya Nje akutana na Balozi wa Argentina nchiniNaibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Ramadhan Muombwa Mwinyi akizungumza na Balozi wa Argentina nchini Mhe. Gomez Bustillo alipomtembelea Wizarani Jijini Dar es Salaam tarehe 25 Mei 2018.

Balozi Mwinyi na Mhe. Bustillo wakijadili namna ya kuendeleza miradi ya maendeleo na kuongeza maeneo mapya ya ushirikiano baina ya mataifa hayo mawili.
Balozi Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Balozi Bustillo, kulia ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Amerika na Ulaya, Bw. Jestas Nyamanga.
No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.