Follow by Email

Saturday, April 29, 2017

Wabunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki watoa elimu ya Mtangamano kwa WanachuoMbunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki na Mwenyekiti wa Wabunge wa Watanzania katika Bunge hilo Mhe. Makongoro Nyerere (aliyesimama) akizungumza wakati wa semina ya kutoa elimu kuhusu masuala mbalimbali ya Mtangamano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki iliyofanyika katika Chuo cha Mipango cha Mjini Dodoma. 
Mkurugenzi wa Siasa, Ulinzi na Usalama kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki akijibu maswali yaliyoulizwa na wajumbe waliohudhuria semina hiyo.

Meza kuu wakifuatilia semina 
Mbunge Mhe. Makongoro Nyerere (wapili kushoto) akikabidhi machapisho kwa Kaimu Mkuu wa Chuo cha Mipango Prof.Hozen Mayaya. wengine ni baadhi ya Bunge wa Bunge walioshiriki semina hiyo


Sehemu ya wanafunzi wa Chuo cha Mipango wakifuatilia semina

Wanafunzi wakifuatilia semina

Picha ya pamoja

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.