Follow by Email

Tuesday, April 11, 2017

Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje atembelea Vituo vya Kutoa Huduma kwa Pamoja Mipakani

Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,  Dkt. Aziz Mlima akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Mamlaka ya Mapato (TRA) katika kituo cha Holili  na Mkuu wa Uhamiaji kwenye kituo hicho (kulia). Balozi Mlima yupo Mkoani Kilimanjaro kwa ajili ya kukagua Vituo vya Kutoa Huduma kwa Pamoja Mipakani.

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.