Follow by Email

Friday, January 20, 2017

Waziri Mahiga akutana na Balozi Korhonen wa Finland nchiniWaziri ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akisalimiana na Balozi Klaus Korhonen wa Finland walipokutana kwa mazungumzo Wizarani Jijini Dar es Salaam. Katika mazungumzo wamejadili masuala mbalimbali kuhusu biashara na kudumisha uhusiano wa kidplomasia baina ya Tanzania na Finland

Mhe. Waziri Balozi Dkt. Augustine Mahiga akifafanua jambo, wa kwanza kushoto ni Balozi wa Finland nchini Tanzania, Balozi Mhe.Pekka Hukka akifuatilia mazungumzo

Waziri Mhe. Balozi Dkt. Mahiga akimsikiliza Balozi Klaus Korhonen wa Finland

Mazungumzo yakiendelea
Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Celestine Mushy (kulia) akifuatilia Mazungumzo

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.