Follow by Email

Friday, January 20, 2017

Waziri Mahiga afanya mazungumzo na Waziri wa Maendeleo wa Denmark


Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki  Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akisalimiana na Waziri wa maendeleo wa Denmark Mhe. Martin Bille Hermann  walipokutana kwa mazungumzo Wizarani Jijini Dar es Salaam. Katika mazungumzo yao walijikita katika maeneo mbalimbali ya kuendeleza  ushirikiano katika maeneo ya afya, elimu na uwekezaji. 

Waziri Mhe.Balozi Dkt. Augustine Mahiga akimsikiliza Waziri wa Maendeleo wa Denmark Mhe. Hermann, Wapili kulia ni Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika Balozi Joseph Sokoine na Afisa kutoka Wizarani Bi. Tunsume Mwangolombe

Mazungumzo yakiendelea

Waziri Mhe. Mahiga na Waziri wa Maendeleo wa Denmark Mhe.Hermann wakijadili jamboNo comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.