Follow by Email

Wednesday, December 21, 2016

Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje akutana na ujumbe wa UNMICTKatibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Aziz P. Mlima (katikati) akizungumza na Bwana Samuel Akorimo, Mkuu wa Ofisi ya Arusha kutoka Mahakama ya Umoja wa Mataifa (UNMICT) iliyopo Arusha walipomtembelea  Wizarani kwa lengo la kushukuru kwa mchango wa Serikali na Wizara kufanikisha ujenzi na uzinduzi wa Majengo ya Umoja wa Mataifa Jijini Arusha, eneo la Lakilaki. Wengine katika picha ni Balozi Baraka Luvanda, Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria (kulia) na Bi.Bi Blandina Kasagama, Afisa Mambo ya Nje. Kushoto ni Bw. Samwel Algozin Afisa Sheria Mkuu kutoka (UNMICT)


Katibu Mkuu, Balozi Mlima na Ujumbe kutoka UNMICT wakiwa  katika picha ya pamoja baada ya kikao

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.