Follow by Email

Wednesday, December 14, 2016

Balozi wa Tanzania nchini Malaysia, Mhe. Dkt. Dau awasilisha Hati za Utambulisho

Balozi wa Tanzania nchini Malaysia, Mhe. Dkt Ramadhani Dau akikabidhi  hati zake za utambulisho kwa mfalme na mkuu wa nchi hiyo  Abdul Halim Mu'adzam Shah katika kasri ya Istana Negara jijini Kuala Lumpur  mapema mwezi huu.

Balozi wa Tanzania nchini Malaysia, Mhe. Dkt Ramadhani Dau akikabidhi  Hati za Utambulisho kwa Mfalme na Mkuu wa Nchi hiyo,  Abdul Halim Mu'adzam Shah katika kasri ya Istana Negara jijini Kuala Lumpur  mapema mwezi huu.Kikosi cha askari kikitoa saluti wakati nyimbo za Taifa za Tanzania na Malayasia zikipigwa mara baada ya Balozi wa Tanzania nchini humo  Mhe. Dkt Ramadhani Dau kuwasili katika kasri ya Istana Negara jijini Kuala Lumpur kukabidhi Hati za Utambulisho kwa Mfalme na Mkuu wa nchi hiyo aliyemaliza muda wake Abdul Halim Mu'adzam Shah mapema mwezi huu.

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.