Follow by Email

Tuesday, November 8, 2016

Mwambata wa jeshi wa Jamhuri ya watu wa China nchini atembelea Wizara ya Mambo ya NjeMkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbelwa Kairuki akiwa pamoja na mwambata wa Jeshi wa Jamhuri ya watu wa China hapa nchini, Meja Jenerali He Xinchong alipomtembelea wizarani leo Jijini Dar es Salaam.

Katika mazungumzo yao waliongelea kuhusiana na Ziara ya Jenerali FAN Changlong Makamu Mwenyekiti wa Kamisheni Kuu ya Jeshi la Jamhuri ya watu wa China, inayotarajiwa kufanyika  nchini kuanzia tarehe 19 hadi 21 Novemba, 2016.

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.