Follow by Email

Wednesday, August 10, 2016

Naibu Waziri apokea hati za uwakilishi za Makonseli kutoka China na India Visiwani Zanzibar

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na UShirikiano wa Afrika Mashariki, Bi. Susan Kolimba (Mb.) akipokea Hati ya Uwakilishi kutoka kwa Konseli Mkuu kutoka Jamhuri ya Watu wa China, Bw. Xie Xiaow Visiwani Zanzibar
Mhe. Kolimba akifanya mazungumzo na Bw. Xie Xiaowu mara baada ya kupokea hati zake za utambulisho.
...Wakati huohuo Naibu Waziri alipokea hati za uwakilishi za Konseli Mkuu wa India nchini
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na UShirikiano wa Afrika Mashariki, Bi. Susan Kolimba (Mb.) akipokea Hati ya Uwakilishi kutoka kwa Konseli Mkuu kutoka Jamhuri ya India, Bw. T.C Barupal ambaye ataiwakilisha India Visiwani Zanzibar
Mhe. Kolimba akifanya mazungumzo na Bw. Barupal mara baada ya kupokea hati zake za utambulisho.

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.