Follow by Email

Wednesday, August 10, 2016

Vikao vya Maandalizi ya Kongamano la tatu la Diaspora vyaendelea Jijini Dar es Salaam

Mkurugenzi wa Idara ya Diaspora katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi, Anisa Mbega (katikati) akiongoza kikao cha maandilizi ya Kongamano la tatu la Diaspora kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere, pembeni yake ni wajumbe wengine wa meza kuu. Kongamano hilo linatarajiwa kufanyika Zanzibar tarehe 24 – 25 Agosti, 2016
Sehemu ya wajumbe wakifuatilia wakifuatilia kikao kwa makini
Sehemu nyingine ya wajumbe wakifuatilia  kikao
Mwakilishi wa Diaspora Italy na VICOBA International Bw. Mwinyimwaka Hatibu akichangia jambo kwenye kikao cha maandilizi ya Kongamano la tatu la Diaspora kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere. Kongamano hilo linalotarajiwakufanyika Zanzibar tarehe 24 – 25 Agosti, 2016

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.