Follow by Email

Saturday, June 4, 2016

Waziri Mahiga ashiriki hafla ya kumuaga Balozi wa Oman

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Augustine Mahiga (katikati) akiwa katika picha ya pamoja  na Balozi wa Oman nchini Mhe. Soud Al-Mohammed Al-Ruqaishi (kulia) wakati wa hafla ya kumuaga Balozi huyo baada ya kumaliza muda wake wa kazi nchini. Hafla hiyo iliyofanyika hivi karibuni katika Hotel ya Hyatt Jijini Dar es Salaaam iliandaliwa na Mhe. Jasem Ibrahim Al-Najem (kushoto), Balozi wa Kuwait nchini. 

Waziri Mahiga akikaribishwa na Balozi Al- Najem mara baada ya kuwasili katika hafla hiyo.
Mhe.  Al- Najem akimkabidhi Mhe. Mahiga zawadi ya mfano wa Ngalawa ambayo ni alama ya Taifa lake.

Mhe, Waziri akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Oman nchini, baadhi ya mabalozi wanaowakilisha nchi zao nchini na wageni waalikwa.

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.