Follow by Email

Friday, June 10, 2016

Waziri Mahiga ampokea Mjumbe Maalum kutoka Eritrea

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga akipokea Ujumbe Maalum kutoka kwa Rais wa Eritrea, Mhe. Isaias Afwerki kwenda kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli. Ujumbe huo  uliwasilishwa na Mjumbe Maalum  ambaye pia ni Balozi wa Eritrea nchini mwenye makazi Nairobi, Kenya, Mhe. Beyene  Russom Habtai.
Mhe.  Mahiga akizungumza na Mhe. Habtai. Wengine katika picha ni  Mkurugenzi wa Idara ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Samuel Shelukindo (wa pili kutoka kulia) Bi. Zulekha Tambwe, Afisa Mambo ya Nje.
Mhe. Mahiga akiwa kwenye picha ya pamoja na Mhe. Habtai na  Balozi Shelukindo
Balozi Habtai akisaini Kitabu cha Wageni.


No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.