Follow by Email

Wednesday, June 15, 2016

Katibu Mkuu Mambo ya Nje ashiriki Warsha ya Makatibu Wakuu


Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Aziz P. Mlima ( wa nne kutoka kulia waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Balozi Liberat Mfumukeko (wa nne kutoka kushoto), Makatibu Wakuu kutoka Wizara zinazosimamia masuala ya Jumuiya ya Afrika Mashariki pamoja na wataalam kutoka Sekretariati ya Jumuiya ya Afrika Mashariki katika Warsha (Retreat) ya Makatibu Wakuu inayoendelea Mjini Moshi.

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.