Follow by Email

Monday, November 30, 2015

Balozi Mulamula akutana kwa mazungumzo na Kamishna wa masuala ya Afrika wa Ujerumani

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akizungumza na Balozi Georg Schmidt, Kamishna anayeshughulikia  masuala  ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Ujerumani ambaye yupo katika ziara ya kikazi hapa nchini. Mazungumzo yao yalijikita kwenye masuala ya kuimarisha ushirikiano kati ya nchi hizi mbili hususan kwenye maeneo ya biashara na uwekezaji.
Mazungumzo yakiendelea
Mkurugenzi wa Idara y Ulaya na Amerika, Balozi Joseph Sokoine (kushoto), na Afisa Mambo ya Nje, Bi. Olivia Maboko wakifuatilia mazungumzo kati ya Balozi Mulamula na Balozi Schmidt  (hawapo pichani)
Mazungumzo yakiendelea
Balozi Mulamula akiagana na mgeni wake Balozi Schmidt mara baada ya kumaliza mazungumzo yao.Picha na Reginald Philip

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.