Follow by Email

Tuesday, November 24, 2015

Balozi Mushy akutana na Mjumbe Maalumu kutoka PolandJuu na Chini Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Celestine Mushy akifanya mazungumzo na Mjumbe maalumu kutoka Poland Balozi Anna Gropinska, alipomtembelea Wizarani mapema leo tarehe 24 Novemba 2015 jijini Dar es SalaamNo comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.