Follow by Email

Saturday, October 10, 2015

Balozi Mulamula atembelea Ubalozi wa Tanzania, Washington DC


Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akisalimiana na watumishi wa Ubalozi wa Tanzania Washington DC mara baada ya kuwasili Ubalozini

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Liberata Mulamula akisaini kitabu cha wageni Ubalozini Washington DC.
Katibu Mkuu akiwa katika kikao na wafanyakazi wa Ubalozi wa Tanzania, Washington DC

Katibu Mkuu akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa wa Ubalozi wa Tanzania WashingtonNo comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.