Follow by Email

Tuesday, August 18, 2015

Waziri Mkuu azungumza na Vyombo vya Habari vya Tanzania baada ya Mkutano wa Wakuu wa Nchi za SADC

Mhe. Mizengo Pinda, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akizungumza na vyombo vya habari vya Tanzania baada ya kumalizika kwa Mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa Afrika leo tarehe 18 Agosti, 2015. Pembeni yake ni Mhe. Mahadhi Juma Maalim, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, ambaye alishiriki kwenye Kikao cha Baraza la Mawaziri wa Jumuiya hiyo. Nyuma ni Bw. Innocent Shio, Kaimu Mkurugenzi Idara ya Ushirikiano wa Kikanda, Wizara ya Mambo ya Nje.No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.