Follow by Email

Friday, July 31, 2015

Kaimu Katibu Mkuu wa Mambo ya Nje akutana kwa mazungumzo na Katibu Mtendaji wa SADC

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Balozi Yahya  Simba akimkaribisha Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC), Dkt. Stergomena Lawrence Tax alipotembelea Wizarani na kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo uanachama wa Tanzania kwenye Jumuiya hiyo.
Balozi Simba akizungumza na Dkt. Tax
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ushirikiano wa Kikanda Bw. Innocent Shiyo (Kushoto) na Afisa Mambo ya Nje, Bi. Upendo Mwasha kwa pamoja wakifuatilia mazungumzo yaliyo kuwa yakiendelea kati ya Balozi Simba na Dkt. Tax (Hawapo pichani).
Mkutano ukiendelea
Naibu Katibu Mkuu Balozi Simba (Kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mtendaji wa Jumuiya ya Maendeleo ya Nchi za Kusini mwa Afrika (SADC)Picha na Reginald Philip

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.