Follow by Email

Saturday, June 13, 2015

Waziri Membe awaaga Mawaziri wa nchin wanachama wa Umoja wa Afrika

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimtaifa, Mhe. Bernard Membe (Mb.) akisoma Hotuba ya kuwaaga Mawaziri wenzake katika mkutano wa Mawaziri wa nchi wanachama wa Umoja wa Afrika.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa kimataifa (watatu kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia Mhe. Naimi Azizi (wa Nne kulia), Mkurugenzi wa Chuo cha Diplomasia Balozi Dkt. Mohamed Maundi, Kaimu Mkurugenzi Idara ya Afrika Bi. Zuhura Bundala pamoja na ujumbe alioambatana naoNo comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.