Follow by Email

Wednesday, May 6, 2015

Waziri Membe aongoza Mawaziri wa Nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki kwenye mazungumzo Burundi

Mhe. Pierre Nkurunziza, Rais wa Jamhuri ya Burundi akisalimiana na kumkaribisha Ikulu Mhe. Bernard K. Membe, Wazairi wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa na kiongozi wa mazungumzo maalaum baina ya Jumuiya ya Afrika Mashariki na Burundi.Mhe. Pierre Nkurunziza, Rais wa Jamhuri ya Burundi kwenye mazungumzo na  Mhe. Bernard K. Membe, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania, Mhe. Louise Mushikiwabo, Waziri wa Mambo ya Nje wa Rwanda na Mhe. Amina Mohamed, Waziri wa Mambo ya Nje wa Kenya.

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.