Follow by Email

Thursday, March 19, 2015

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE ALIHUTUBIA BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI

Spika wa Bunge la Afrika Mashariki Mh.Daniel Kidega akimkaribisha Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete katika jengo la bunge mjini Bujumbura Burundi ambapo Rais  alilihutubia Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongozwa kuingia katika jengo la Bunge mjini Bujumbura Burundi ambapo alilihutubia Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake katika Bunge la Afrika Mashariki huko Bujumbura Burundi 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wabunge wa Afrika Mashariki muda mfupi baada ya kuwahutubia mjini Bujumbura Burundi 


No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.