Follow by Email

Wednesday, January 14, 2015

Naibu Waziri Mambo ya Nje akutana na Mabalozi wa kundi la nchi nne.Naibu waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe.Dkt.Mahadhi Juma Maalim (Mb) akiwapokea wizarani mabalozi wa kundi la nchi nne (Ujerumani,Brazil,India na Japani)  kwa mazungumzo kuhusu mabadiliko ya muundo wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

 Balozi wa Brazil hapa nchini, Mhe.Fransisco Carlos Luiz akichangia jambo katika mazungumzo hayo,huku Naibu waziri Mhe.Mahadhi pamoja na maofisa wa wizara ya Mambo ya Nje Adam Isara (wa kwanza kulia) na Ramla Khamis wakimsikiliza kwa makini.
Majadiliano ya mabalozi na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje Mhe.Mahadhi yakiendelea.
Balozi wa Japani, Mhe.Masaki Okada (kulia),Balozi wa India Mhe.Dednath Shaw (katikati) pamoja na Balozi wa Ujerumani Mhe.Egon Kochanke wakati wa mazungumzo hayo.

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.