Follow by Email

Monday, December 22, 2014

Rais Zuma akutana kwa mazungumzo na Rais Kikwete Ikulu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akimkaribisha Ikulu Rais wa Afrika Kusini, Mhe. Jacob Zuma alipofika kwa ajili ya mazungumzo rasmi. Mhe. Zuma amehitimisha ziara ya kikazi ya siku mbili tarehe 22 Desemba, 2014 baada ya kufanya mazungumzo na Rais Kikwete.
Rais Kikwete akimkaribisha  Rais Zuma kwenye chumba cha mazungumzo.
Mhe. Rais Kikwete na Mhe. Rais Zuma wakiwa katika picha ya pamoja na Makamu wa Rai wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal (wa pili kulia)  na Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini, Mhe. Maite Nkoana-Mashabane (wa kwanza kushoto).No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.