Follow by Email

Monday, July 21, 2014

Waziri Membe ashiriki futari nyumbani kwa Balozi Mdogo Mhe. Omary Mjenga

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard Membe (Mb.) akiwa na Balozi Mdogo wa Tanzania Dubai Mhe. Omary Mjenga wakisubiri muda wa futari mjini Dubai leo. Mhe. Membe alikuwa njiani kuelekea Colombo, Sri Lanka kwenye Mkutano wa Jumuiya ya Madola.
Mhe. Membe pamoja na Mhe. Mjenga, wakiwa katika mazungumzo kwenye ukumbi wa mazungumzo (majlis) nyumbani kwa Balozi Mdogo
Waziri Membe akiwa akiwa na Balozi Mdogo Mhe. Omary Mjenga kwenye futari.No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.