Follow by Email

Monday, June 30, 2014

Mhe. Membe amuaga rasmi Balozi wa Somalia nchini

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.) akizungumza na Balozi wa Somalia hapa nchini, Mhe. Abdihakim Ali Yasin ambaye alifika Ofisini kwake  kwa ajili ya kumuaga rasmi baada ya kumaliza muda wake wa kazi hapa nchini.
Mhe. Membe akimsikiliza Mhe. Balozi Yasin alipofika Ofisini kwake kwa lengo la kumuaga.
Mhe. Membe akiagana na Balozi Yasin
Mhe. Membe akiwa katika picha ya pamoja na Mhe. Yasin pamoja na Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali, Bi. Mindi Kasiga (kushoto), Bi. Faduma Abdullahi Mohamud (wa pili kutoka kulia), Afisa kutoka Ubalozi wa Somalia hapa nchini na Bw. Bujiku Sakila (kulia), Afisa Mambo ya Nje.No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.