Follow by Email

Thursday, May 22, 2014

Rais Kikwete apokea Hati za Utambulisho za Balozi mpya wa Marekani nchiniRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea Hati za Utambulisho za Balozi mpya wa Marekani nchini, Mhe. Mark Childress IKULU, Dar es Salaam tarehe 22 Mei, 2014.
Mhe. Childress akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili IKULU.
Mhe. Rais Kikwete akimtambulisha kwa Balozi Childress  Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bw. John Haule
Mhe. Rais Kikwete akimtambulisha kwa Balozi Childress  Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Ulaya na Amerika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bibi Victoria Mwakasege
Balozi Childress akisalimiana na Afisa Dawati la Ulaya na Amerika  katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bi. Redemptor Tibaigana.


Mhe. Rais Kikwete katika mazungumzo na Balozi Childress
Mhe. Rais Kikwete katika picha ya pamoja na Balozi Childress
Picha ya Pamoja
Brass Band ikipiga wimbo wa Taifa la Marekani mara baada ya Balozi wa Marekani kuwasili IKULU kwa ajili ya kuwasilisha Hati zake za utambulisho kwa Rais.


Picha na Reginald Philip No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.