Follow by Email

Tuesday, February 25, 2014

Mhe. Membe akutana kwa mazungumzo rasmi na Waziri wa Mambo ya Nje wa China

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard K. Membe (Mb.)  akipokelewa na mwenyeji wake Mhe. wang Yi, Waziri wa Mambo ya Nje wa China mara baada ya kuwasili kwenye  Wizara ya Mambo ya Nje ya China.  
Mhe. Membe na Mhe. Wang Yi katika picha ya pamoja.
Mhe. Membe akiongozana na Mhe. Wang Yi mara baada ya kupokelewa.
Mhe. Membe akisalimiana na aliyewahi kuwa Balozi wa China nchini Tanzania miaka kadhaa iliyopita.Anayeshuhudia pembeni ni Balozi Mbelwa Kairuki, Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australasia, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.