Follow by Email

Sunday, January 12, 2014

SHEREHE ZA MIAKA 50 YA MAPINDUZI ZAFANA ZANZIBAR


Rais wa Zanzibar, Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akiwapungia wananchi wa Zanzibar wakati akiingia kwenye Uwanja wa Amani mapema leo hii na gari la wazi kwenye maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar. 
 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwapungia mamia ya wakazi wa Zanzibar wakati akiwasili kwenye Uwanja wa Amani kwenye kilele cha Sikukuu ya Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar. 
Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein akikagua vikosi vya gwaride kwenye Maadhimisho ya Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar mapema leo hii kwenye Uwanja wa Amani.
Sehemu ya Umati uliofurika wakati wa Maadhimisho ya Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar.  
 

Source:  Vijimambo blog

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.