Follow by Email

Sunday, January 12, 2014

Rais wa Comoro atembelea Zanzibar Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Rais wa Comoro Ikililou Dhoinine,alipofika Ikulu ya Migombani Mjini Unguja jana ,Rais  wa Comoro alifika nchini kushiriki katika sherehe za Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar ambazo kilele chake kitafanyika katika Uwanja wa Amaan.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Rais wa Comoro Ikililou Dhoinine,alipofika Ikulu ya Migombani Mjini Unguja jana ,Rais  wa Comoro alifika nchini   kushiriki katika sherehe za Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar ambazo kilele chake kitafanyika katika Uwanja wa Amaan.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiagana na  Rais wa Comoro Ikililou Dhoinine,baada ya mazungumzo yao alipofika Ikulu ya Migombani Mjini Unguja jana ,Rais  wa Comoro alifika nchini  kushiriki katika sherehe za Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar ambazo kilele chake kitafanyika katika Uwanja wa Amaan.  (Picha na Ramadhan Othman,IKULU-Zanzibar.)


No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.