Follow by Email

Friday, November 15, 2013

Vazi la Taifa?


Binti huyu, raia wa Sri Lanka, akiwa amevalia vazi lenye rangi za bendera ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ikiwa ni sehemu ya ushiriki wa vijana katika mavazi ya mataifa wanachama wa Jumuiya ya Madola wakati wa Kikao cha Wakuu wa Nchi (CHOGM 2013) nchini Sri Lanka. 


No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.