Follow by Email

Friday, November 15, 2013

Rais Kikwete akutana na Prince Charles nchini Sri Lanka


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mwana wa Malkia Elizabeth II wa Uingereza, Prince Charles, jijini Colombo, Sri Lanka leo pembeni ya Mkutano wa Wakuu wa nchi za Jumuiya ya Madola (CHOGM).  Prince Charles anamwakilisha Mama yake Queen Elizabeth II, ambaye hakuhudhuria kwa mara ya kwanza katika kipindi cha miaka 40 ya historia ya Mkutano huo.  Mwingine katika picha hiyo ni Mhe. Balozi Peter Kallaghe wa Tanzania nchini Uingereza.  (picha na Ikulu).  

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.