Follow by Email

Saturday, October 5, 2013

Wanamichezo wa NJE Sports Club wakiwa katika mashindano ya SHIMIWI mkoani DodomaWanamichezo wa NJE Sports Club wakiwa katika mashindano mbalimbali ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) mkoani Dodoma

Timu ya wanaume ya mpira wa miguu 

Timu ya wanawake ya mpira wa kikapu

Time ya wanawake

Timu ya Wavuta Kamba ikishiriki katika bonanza ya Mashindano ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) ya mwaka 2013, mkoani Dodoma.  

Wavuta kamba wakionesha mbwembwe zao

Wavuta kamba mtamboniWanamichezo wa NJE Sports Club wa Timu ya Wanawake  wakisubiri zamu yao kuingia uwanjani


Wanamichezo wa NJE Sports Club watembelea hospitali ya Mirembe, mkoani Dodoma. Hongereni sana kwa kazi nzuri!No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.