Follow by Email

Monday, October 7, 2013

Serikali yasaini Mkataba wa kuanzisha Kitengo cha Kuharakisha Huduma za Kilimo


Katibu Mkuu Ikulu, Bwana Peter Ilomo (kulia) akibadilishana waraka wa makubaliano ambao unajulikana kama “Catalyzing Agricultural  Developmenmt in Tanzania – Agricultural Delivery Division  kwa niaba ya Ofisi ya Rais, Ikulu na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi Mkazi wa UNDP, Bwana Alberic Kacou mara baada ya kutia saini waraka huo.  (picha na Freddy Maro wa Ikulu)No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.