Follow by Email

Friday, September 20, 2013

Ziara ya Mhe. Rais Kikwete nchini MarekaniCALIFORNIA:  Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya Watanzania waishio katika mji wa Vallejo jimbo la California nchini Marekani leo wakati Rais alipotembelea mji huo wa kibiashara kwa mwaliko wa meya wa mji huo Mstahiki Osby Davis.

WASHINGTON, DC:  Rais Dkt. Jakaya Kikwete akisaini kitabu cha wageni huku Mhe. Waziri Bernard Membe na Mhe. Balozi Liberata Mulamula wakishuhudia.

Rais Dkt. Jakaya Kikwete katika picha ya pamoja na Mhe. Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico, Liberata Mulamula.
 Rais Dkt. Jakaya Kikwete katika picha ya pamoja na Balozi wa Heshima Hon. Robert Samuel Shumake.

 Rais Dkt. Jakaya Kikwete katika picha ya pamoja na Balozi wa Heshima Hon. Kjell Bergh.

 Rais Dkt. Jakaya Kikwete katika picha ya pamoja na Balozi wa Heshima Hon. Cemil Teber.
 Rais Dkt. Jakaya Kikwete katika picha ya pamoja na Balozi wa Heshima Hon. Suzanne Alyce Terrell.
 Rais Dkt. Jakaya Kikwete katika picha ya pamoja na Balozi wa Heshima Hon. Charles Gray.Rais Dkt. Jakaya Kikwete katika picha ya pamoja na Balozi wa Heshima Hon. Ahmed Issa na mkewe Cherry Julian.

Rais Dkt. Jakaya Kikwete katika picha ya pamoja na Balozi wa Heshima Hon. Dallas Browne. 


All photos courtesy of Vijimambo blog 
  
No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.