Follow by Email

Monday, September 23, 2013

Gavana wa Anjouan awasili nchini


Balozi Vincent Kibwana, Mkurugenzi wa Idara ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akiwa katika picha na Gavana wa Anjouan, Mhe. Anissi Chamsidine, kutoka moja ya visiwa vinavounda nchi ya Comoro.  Balozi Kibwana alikuwa amempokea Mhe. Chamsidine mara baada ya kuwasili nchini leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere, jijini Dar es Salaam. 

Akiwa nchini, Gavana huyo anatarajiwa kukutana na viongozi mbalimbali wa Serikali na Jumuiya ya Wafanyabiashara kutoka sekta mbalimbali za uchumi. No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.