Follow by Email

Wednesday, August 21, 2013

Uteuzi wa Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu Wapya


Katibu Mkuu Kiongozi, Mhe. Balozi Ombeni Y. Sefue akijiandaa kuongea na Waandishi wa Habari waliokusanyika jioni hii kupata taarifa kuhusu Uteuzi wa Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu Wapya, katika ofisi za Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu  - jijini Dar es Salaam.   Pembeni kushoto ni Bw. Salvatore Rweyemamu, Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu. 

Katibu Mkuu Kiongozi, Mhe. Balozi Ombeni Y. Sefue akisoma orodha mpya ya Makatibu Wakuu na Manaibu Makatibu Wakuu Wapya jioni ya leo hii katika Ofisi ya Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam.  Wapili kulia ni Bw. Salvatore Rweyemamu, Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu na watatu kulia Bw. Assah Mwambene, Mkurugenzi wa Idara ya Habari katika Wizara ya Habari, Vijana na Utamaduni. 

Katibu Mkuu Kiongozi, Mhe. Balozi Sefue akiendelea kusoma orodha ya Makatibu Wakuu wapya na wanaohama.  Pembeni kushoto ni Bw. Salvatore Rweyemamu, Mkurugenzi wa Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu. 

 

Katibu Mkuu Kiongozi, Mhe. Balozi Ombeni Y. Sefue akijibu maswali ya waandishi kabla ya kuendelea kusoma orodha ya Uteuzi wa Naibu Makatibu Wakuu wapya na uhamisho wa baadhi yao.Picha zote na Tagie Daisy Mwakawago No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.