Follow by Email

Thursday, August 15, 2013

Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia, Mhe. Naimi Aziz awasilisha Hati za Utambulisho


Mhe. Balozi Naimi Aziz akiwa na Mkuu wa Itifaki wa Jamhuri ya Muungano ya Kidemokrasi ya Ethiopia.

Gwaride Rasmi likitoa heshima na kupiga wimbo wa Taifa wa Tanzania na Ethiopia.

Mhe. Balozi Naimi Aziz akiwasilisha hati za utambulisho kwa Mhe. Girma Wolde Giorgis, Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Kidemokrasi ya Ethiopia.

Mhe. Balozi Naimi Aziz akifanya mazungumzo na Rais Girma Wolde Giorgis wa Ethiopia. 

Mhe. Balozi Naimi Aziz, Balozi mpya wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Ethiopia akisaini Kitabu cha Maalum cha Wageni katika Ikulu ya Ethiopia. 

Mhe. Balozi Naimi Aziz akikaribishwa na Maafisa Ubalozi katika ofisi ya Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Ethiopia.

Mhe. Balozi Naimi Aziz akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa wa Ubalozi.

Mhe. Balozi Naimi Aziz akifanya kikao cha kwanza na Maafisa wa Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Ethiopia. 


Picha zote na Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Ethiopia 


No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.