Follow by Email

Sunday, August 18, 2013

Katibu Mtendaji mpya wa SADC apongezwa na Katibu Mtendaji aliyemaliza muda wake


Katibu Mtendaji wa SADC anayemaliza muda wake Dr.Tomaz Salomao akimpongeza katibu mtendaji mpya wa jumuiya hiyo Dr.Stergomena Tax wakati wa Mkutano wa 33 wa wakuu wa nchi za SADC unaondelea jijini Lilongwe, Malawi.  Dr.Stergomena ni Katibu Mkuu Wizara ya Afrika Mashariki.   (picha na Freddy Maro)


No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.