Follow by Email

Saturday, May 25, 2013

Rais Kikwete awasili nchini Ethiopia kuhudhuria Sherehe za miaka 50 za Umoja wa Nchi za Afrika (AU)


Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mama Salma Kikwete wakipata maelezo ya maandalizi ya sherehe hizo kutoka kwa Mhe. Prof. Joram Biswaro, Balozi wa Tanzania nchini Ethiopia mara baada ya Rais Kikwete kuwasili leo mjini Addis Ababa.  Rais Kikwete yupo nchini humo tayari kuhudhuria Sherehe za kuadhimisha miaka 50 tangu kuanzishwa kwa Umoja wa Nchi za Afrika (OAU) sasa ikijulikana kama (AU).  Sherehe hizo zinafanyika rasmi leo ambapo zitahudhuriwa na Marais wa Afrika. (Picha na Issa Michuzi wa Ikulu)No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.