Follow by Email

Saturday, May 11, 2013

Kikao cha SADC nchini Afrika Kusini


Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama wa SADC (watatu kushoto), akiongoza Kikao Maalum cha Kamati hiyo kilichofanyika jana, jijini Cape Town, Afrika Kusini.  Wengine pichani ni wajumbe wa Kamati hiyo akiwemo mwenyeji Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini (kulia), Bibi Netumbo Nandi-Ndaiwa (kushoto), Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Namibia, na Dkt. Tomaz Salomao (wa pili kushoto), Katibu Mkuu wa SADC.  (Picha na Freddy Maro wa Ikulu)

Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazunguzo mafupi na mwenyeji Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini wakati wakitoka katika ukumbi wa hoteli ya Westin, jijini Cape Town, Afrika Kusini. (Picha na Freddy Maro wa Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.