Follow by Email

Tuesday, January 8, 2013

Utekelezaji wa Ilani ya CCM katika Serikali ya Awamu ya Nne220px-Coat of arms of Tanzania.svg f1f71

Wizara ya Mambo ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa leo jioni itaelezea mafanikio yake katika kipindi cha Serikali ya Awamu ya Nne ikiwa ni sehemu kuu ya utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM).

Ratiba ya vipindi vitakavyorushwa leo jioni kwa muda wa nusu saa ni kama ifuatavyo:


ITV   ............ saa 12:30 hadi saa 1:00 jioni  


TBC  ............ saa 1:00 hadi 1:30 jioni


Star TV   ............. saa 1:00 hadi 1:30 jioni
   No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.