Follow by Email

Saturday, January 12, 2013

Rais Kikwete aongoza Kikao cha Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama - SADC; Rais Andry Rajoelina wa Madagascar ahudhuria


Rais Jakaya Mrisho Kikwete (wa pili kulia), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), akiwa katika picha ya pamoja na Rais Andry Rajoelina (kulia) wa Madagascar  wakati wa Kikao cha Kamati hiyo kilichofanyika Ikulu ijumaa tarehe 11 Januari, 2013 mjini Dar es Salaam.  Wengine katika picha ni Rais Hifikepunye Pohamba (kushoto) wa Namibia na Rais Armando Guebuza Msumbiji.  (Picha na Freddy Maro wa Ikulu)


No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.