Follow by Email

Friday, January 4, 2013

RAIS KIKWETE AONANA NA MSHAURI WA KIJESHI WA UMOJA WA MATAIFA


jwun2 cf082
Rais Jakaya Mrisho Kikwete (wa tatu kushoto mstari wa mbele) akiwa atika picha ya pamoja na Luteni Generali Babacar Gaye (wa tatu kulia mstari wa mbele), Mshauri Mkuu wa Kijeshi wa Umoja wa Mataifa, baada ya kuonana naye Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 4, 2013.  Wengine ni Mhe. Mahadhi Juma Maalim (Mb) (kushoto mbele), Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, akifuatiwa na Jenerali Davis Mwamunyange, Mkuu wa Majeshi Tanzania.  Wa pili kulia ni Mhe. Balozi Tuvako Manongi, Balozi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa na wengine ni maafisa waandamizi katika JWTZ na Umoja wa Mataifa. (picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.