Follow by Email

Saturday, January 12, 2013

Naibu Waziri azindua kituo cha mafunzo ya kompyuta Unguja


Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) (katikati) akisaini Kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili Jambiani, Wilaya ya Kusini, Unguja kwa ajili ya kuzindua Kituo cha Mafunzo ya Kompyuta ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 49 ya Mapinduzi ya Zanzibar hivi karibuni.

Mhe. Maalim akizindua rasmi Kituo cha Mafunzo ya Kompyuta kilichopo Jambiani, Wilaya ya Kusini, Unguja.

Hafla hiyo ya uzinduzi wa Kituo cha Mafunzo ya Kompyuta ilipambwa na Kikundi cha Mazoezi.

Mhe. Maalim pia aliweka jiwe la msingi la chumba cha kuhifadhia vifaa vya Kompyuta kama inavyoonekana.

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.