Follow by Email

Tuesday, November 20, 2012

TANGAZO LA MSIBA


  Jesca Emmanuel  (12)


TANGAZO LA MSIBA

Mhe. Tuvako Manongi, Balozi  wa Kudumu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa, kwa majonzi makubwa, anasikitika kutangaza kifo cha Jesca Emmanuel  (12), Mtoto wa Afisa mwenzetu Bw. Emmanuel Swere Alfred na Bi Doto, kilichotokea ghafla siku ya Jumapili 18/11/2012 katika Hospitali ya Mt. Sinai, Queens, New York.

Taratibu na mipango ya kuusafirisha Mwili wa Marehemu Mtoto Jesca kwenda kijijini Bumbombi- Shirati Tanzania kwa mazishi zinaendelea kwa usimamizi wa Ubalozi na Familia ya Marehemu.

Taarifa zaidi zitatolewa na Ubalozi kuhusu siku, tarehe na mahali tutakapomuaga mpendwa wetu Jesca Emmanuel.

Raha ya Milele Umpe Eee Bwana na Mwanga wa Milele Umuangazie apumzike kwa amani. Amina.


UBALOZI WA TANZANIA UMOJA WA MATAIFA

NEW YORKNo comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.