Follow by Email

Friday, September 21, 2012

NAIBU WAZIRI AMKABIDHI KIBALI MWAKILISHI WA HESHIMA WA POLAND HAPA NCHINI

Mhe. Mahadhi Juma Maalim (Mb.) (kushoto), Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akimkabidhi Bw. Joseph Tairo kibali cha kuwa Mwakilishi wa Heshima wa Poland nchini Tanzania. Makabidhiano hayo yalifanyika Ofisini kwa Mhe. Naibu Waziri leo.

Bw. Tairo (kushoto) akisoma Kibali alichokabidhiwa huku Mhe. Naibu Waziri akiangalia.

Mhe. Naibu Waziri (kulia) akiwa katika mazungumzo na Bw. Tairo.

No comments:

Post a Comment

Note: Only a member of this blog may post a comment.